Saturday, April 7, 2012

BREAKING NEWS: MUIGIZAJI LULU ALIYEKATWA KWA KUHUS...

MUIGIZAJI LULU ALIYEKATWA KWA KUHUSU KIFO CHA KANUMBA...:

Kutokana na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya kifo cha Kanumba, kwani walikua wote chumbani kama wapenzi, kabla ya mwanadada huyo kmwita ndugu wa kanumba na yeye kutoroka,

Sasa baada ya kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka mwanasheria wake afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila atakachoongea ili ushahidi usije ukapindishwa.

So polisi hawana budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.

Lulu


No comments:

Post a Comment