![]() |
Mshindi wa wimbo bora wa zouk rhumba katika tuzoza Kilimanjaro Tanzania Music Awards mtu mzimaAli Kiba amekanusha kwamba usiku aliofariki Kanumbayeye ndo alienda kumchukua Lulu, Wakati tukio linatokeaAli Kiba alikuwa kiwanja cha coco beach ndipokwamba Kanumba kafariki, Ndipo akampigia simu Lulukumuliza kama ni kweli Kanumba kafariki Lulu alimwambia
hapana hajafa anaumwa tu.
Muda si mrefu akapokeasimu kutoka kwa mama mtoto wake anaekaa Sinzaakamwambia ni kweli ameona mwili wake ukiingizwamochwari. Ali Kiba asubuhi yake alisafiri kuelekaMalindi/Mombasa Kenya |
No comments:
Post a Comment