Pini hili la "Gangsta",ni
collabo kati ya hiphop
Mc's anzia Dar-Arusha-Mombasa mpaka
Nairobi.Artists walopita ni BouNako, FiDo,
MoPlus, Frost ,GeeZMabov,
LavosT na
RitchieRich,Hiphop ni worldwide na
tunafanya kazi kwa pamoja
kuimarisha
\game na mshikamano ambao upo kati
yetu wasanii,Geez Mabov
anarepresent Dirty
South pande za DSM,FiDo,MoPlus,Frost
na BouNako
wanarepresent Arachuga,Lavosti
toka Ukoo MauMau anarepresent Mombasa
na
RitchieRich toka HeadBangaz International
akirepresent pale Nairobi
City,Audio ikiwa
imesmamiwa pande za Noizmekah Studios,
Video ya pini
hili inaendelezwa editing Pande
za RED Films Arusha..
|
No comments:
Post a Comment