![]() |
Vigogo viwili wa soka huko ulaya kukipiga leo ili kumtsfutambabe ambaye atakipiga na timu itakayofudhu kuchezafainali za ligi ya mabingwa kati ya vijana wa kochamsema hovyo Morinho na Beyern munich. katika mchezowa leo Chelsea watakuwepo katika uwanja wao wa nyumbaniStanford bridge kukipiga na Barcelona. . Iumbukwe ya kwambamwaka 2009 Barca waliitoa The Blues katika nusu fainali |
No comments:
Post a Comment