Timu ya soka yaArsenal aka the guners wawapa man utd ushindi baada ya kuwazamisha vijana wa Roberto Mancini katika game kali lililopigwa Emirates
![]() |
Alex Song wa Arsenal ( kushoto ) akimdhibitiSameer Nasri wa Man city katika mchezo waligi kuu katika uwanja wa Emarates.Arsnenal waliibuka kiffua mbele kwaushindi wa goli moja |
![]() |
Vijana wa Alex Ferguson wakishangilia goli |
No comments:
Post a Comment