Beki wa Manchester United Mbrazil Fabio Da Silva
ataondoka katika kikosi cha Mashetani wekundu
mwishoni mwa msimu huu kwa mkopo.Kibabu
Fergie amesema kwamba anaamini kuwa Fabio
anahitaji kucheza katika kikosi cha kwanza
ili kupata uzoefu zaidi. . . Kwa upande wake
Fabio amekubaliana na wazo hilo
|
No comments:
Post a Comment